Waafrika waadhimisha wiki ya bara hilo katika Umoja wa Mataifa
Afrika Afrika Afrika! Hii ni lugha iliyozungumzwa kwa wingi juma hili katika wiki ya Afrika ambayo imeadhimishwa kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York.
Afrika Afrika Afrika! Hii ni lugha iliyozungumzwa kwa wingi juma hili katika wiki ya Afrika ambayo imeadhimishwa kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York.
Tarehe 16 kila mwaka dunia haudhimsha siku ya chakula. Hii ni siku inayotoa hamasa ya kupatikana kwa chakula ambapo maudhui ya mwaka huu ni kilimo cha kaya ambacho kinaelezwa kuwa kinaweza kulisha ulimwengu huku kikizingatia mustkhbali wa sayari dunia.
Umoja wa mabunge duniani umekuwa na mkutano wake mkuu wa 131 huko Geneva Uswisi kuanzia tarehe 12 mwezi huu wa Oktoba. Ajenda za mkutano huo ni pamoja na demokrasia na haki za binadamu na dhima ya jamii ya mabunge katika kuchagiza harakati dhidi ya Ebola.
Hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia kuongezeka kwa mashambulizi na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Aghalabu, mashambulizi hayo yanasababishwa na fikra potofu na ushirikina.
Lazima kuileta amani kwanza ndiyo tuilinde.
Kamati ya tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ikihitimisha mjadala wa vijana kuhusu maendeleo ya jamii, idhaa hii imeongea na mwakilishi kutoka Kenya, Wambui Kahara ambaye ameeleza jinsi Kenya ilivyojitahidi kuwawezesha vijana katika uchumi wa nchi.
Nchini Liberia, mlipuko wa ugonjwa wa Ebola tangu mwezi Machi mwaka huu umelazimisha kubadilika kwa mwelekeo wa shughuli za ujenzi wa nchi hiyo iliyokuwa inaanza kuibuka baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya ugonjwa wa afya ya akili siku ambayo shirika la afya ulimwenguni WHO huitumia kuchagiza umuhimu wa elimu na namna ya kusaidia huduma kwa ugonjwa huo.
Maisha baada ya kuishi ukimbizini huhitaji msaada mkubwa katika nyanja zote za uchumi, kijamii na hata kisaikolojia! Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR nchini Kenya limejikita kusaidia wakimbizi katika kustawisha maisha yao ambapo huanza kwa makazi.
Taasisi ya Utafiti wa Samaki za Bahari (KMFRI) nchini Kenya. Pamoja na Shirika la Chakula na Kilimo FAO na wadau wengine wamebuni teknolojia mpya ya kuwezesha wavuvi kupata taarifa kuhusu bei ya samaki kwenye soko kupitia simu za mkononi.