Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Licha ya changamoto kadhaa, Tanzania yajitosheleza kwa chakula

Licha ya changamoto kadhaa, Tanzania yajitosheleza kwa chakula

Pakua

Tarehe 16 kila mwaka dunia haudhimsha siku ya chakula. Hii ni siku inayotoa hamasa ya kupatikana kwa chakula ambapo maudhui ya mwaka huu ni kilimo cha kaya ambacho kinaelezwa kuwa kinaweza kulisha ulimwengu huku kikizingatia mustkhbali wa sayari dunia.

Shirika la chakula na kilimo FAO linasisitiza kuwa kilimo cha kaya huinua hadhi ya kilimo na hivyo kusukuma jitihada za kutokomeza njaa, umasikini na kukuza usalama wa chakula na lishe. Nchini Tanzania hali ya chakula ikoje? Ungana na George Njogopa.

Photo Credit
Picha: FAO