Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Fahamu ugonjwa wa afya ya akili

Fahamu ugonjwa wa afya ya akili

Pakua

Leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya ugonjwa wa afya ya akili siku ambayo shirika la afya ulimwenguni WHO huitumia kuchagiza umuhimu wa elimu na namna ya kusaidia huduma kwa ugonjwa huo. Kauli mbiu ya mwaka huu wa 2014 ni “Kuishi na dhiki”, inayolenga katika kuhakikisha watu wanaishi kwa afya hata ikiwa wamekumbwa na tatizo la dhiki, au schizophrenia kwa Kiingereza.

Kufahamu ugonjwa huo ni nini hasa, aina na hata tiba za ugonjw wa afya ya akili na mengineyo Joseph Msami wa idhaa hii amezungumza na Dk Patrick Elias ambaye ni dk wa magonjwa ya afya ya akili kutoka hospitali ya Sinza wilayani Kinondoni Tanzania.

Dk Patrick anaanza kwa kueleza maana ya magonjwa ya afya ya akili.

(MAHOJIANO)

Photo Credit
Siku ya afya ya akili.picha@EHO