Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakazi wa Hoima Uganda watoa maoni kuhusu huduma ya afya

Mama na mtoto wake mchanga katika Kituo cha afya Karenga, Uganda, April 2019
UNICEF/Zahara Abdul
Mama na mtoto wake mchanga katika Kituo cha afya Karenga, Uganda, April 2019

Wakazi wa Hoima Uganda watoa maoni kuhusu huduma ya afya

Afya

Wakati viongozi wa dunia wamepitisha azimio la kisiasa la kuhakikisha huduma ya afya kwa wote inapatikana kwa kila mkazi wa dunia ifikapo mwaka 2030, nchini Uganda mwandishi wetu John Kibego amevinjari katika maeneo ya Hoima ili kuweza kupata maoni  ya wananchi kuhusu huduma hiyo adhimu. 

Soundcloud