Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ukuaji wa teknolojia kando na kuimarisha kazi unaleta changamoto

Susan Issa Adam, mtayarishaji wa vipindi akiwa kwenye Studio za radio ya UNAMID.
Picha ya UNAMID/ Hamid Abdulsalam
Susan Issa Adam, mtayarishaji wa vipindi akiwa kwenye Studio za radio ya UNAMID.

Ukuaji wa teknolojia kando na kuimarisha kazi unaleta changamoto

Masuala ya UM

Waandishi wa habari katika jamii wana mchango mkubwa iwe nikuhabarisha lakini pia kuelimisha. Hata hivyo mabadiliko katika tasnia hii yanazua changamoto haswa katika utendaji na uwajibikaji wa wanahabari

Sauti hiyo ni ya mwandishi wa habari  na mtangazaji mkongwe mwenye umri wa miaka themanini kutoka Kenya,  ambaye aliwahi kutangazia Shirika la utangazaji nchini Kenya, KBC kwa miaka mingi. Na kwa sasa ni mshauri wa maswala ya uandishi baada ya kustaafu kutoka shirika hilo.

Gwiji huyo wa tasnia ya habari Bwana Badi amezungumzia toafauti kati ya uandishi wa enzi hizo na sasa

(Sauti ya Badi)

Licha ya kuimarika kwa mazingira ya kufanya kazi na hasa maendeleo ya teknolokia, waandishi wa leo wanasemaje?, Leah Mushi ni mtangazaji na mwalimui wa waandishi wa habari kuhusu uandishi wa habari za kidijitali, ambao anasema una changamoto lukuki, lakini pia ametoa ushauri

(Sauti ya Leah)

Naye mkurugenzi mkuu wa Uhuru media group, Ernest Sungura akihojiwa na Stella Vuzo wa kituo cha habari cha  Umoja wa Mataifa jijini Dar es Saalam amesema