Uandishi wa habari wakati na kabla ya ukauaji wa teknolojia za kidijitali
Waandishi wa habari katika jamii wana mchango mkubwa iwe nikuhabarisha lakini pia kuelimisha. Hata hivyo mabadiliko katika tasnia hii yanazua changamoto haswa katika utendaji na uwajibikaji wa wanahabari