Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana nchini Uganda waamua kusalia vijijini, kulikoni?

Wafanyakazi wa mji wakichimba mifereji mjini Kampala. Picha ya Mamlaka ya Mji Mkuu Kampala KCCA.

Vijana nchini Uganda waamua kusalia vijijini, kulikoni?

Ukuaji wa Kiuchumi

Uganda ina watu wapatao milioni 44 kwa mujibu wa makadirio ya idadi ya watu ya Umoja wa Mataifa na idadi hii inawakilisha aslimia 0.58 ya idadi yote ya watu duniani., na kati yao watu wanaoishi mijini ni kama asilimia 17 tu waliosalia huishi mashambani au vijijini.

 Akizungumza na idhaa hii mratibu wa masuala ya maendelo endelevu SDGs katika wizara zote za serikali nchini Uganda Dkt Tom Okurut anafafanua kwa nini?

(SAUTI YA TOM OKURUT)

Kama ilivyo katika nchi nyingi duniani Uganda pia ina idadi kubwa ya vijana ambao asilimia 78 wako chini ya umri wa miaka 30 umri ambao wengi hukimbilia mijini kusaka Maisha kwa nini hawa wanasalia vijijini?

(SAUTI YA TOM OKURUT)