Elimu ya bure msingi na sekondari mkombozi kwa wasichana Tanzania

Elimu ya bure msingi na sekondari mkombozi kwa wasichana Tanzania

Sera ya elimu ya msingi na sekondari bure imekuwa mkombozi kwa wasichana ambao wengi walisitisha masomo au kutojiunga kutokana na uhaba wa fedha na mila potofu.

Martini Nyoni wa redio washirika redio SAUT ya Mwanza Tanzania ameangazia sera hii na umuhimu wake katika makala ifuatayo. Ungana naye