Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Makubaliano ya amani yaleta matumaini kwa muziki wa kiasili wa Vallenato Colombia

Makubaliano ya amani yaleta matumaini kwa muziki wa kiasili wa Vallenato Colombia

Mnamo mwaka 1982, Gabriel Garcia Marquez, mwandishi mashuhuri kutoka Colombia alipokea tuzo ya Nobel katika Fasihi. Manthari iliyotamalaki wakati akipokea tuzo hiyo mjini Oslo, Norway, ilikuwa ya ngoma ya kitamaduni kutoka pwani ya kaskazini mwa Colombia, iitwayo Vallenato. Je, Vallenato ndiyo ipi? Kufahamu zaidi, ungana na Joshua Mmali akikupeleka hadi Colombia, katika makala hii