Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakufunzi wa ulinzi wa amani Tanzania wanolewa

Wakufunzi wa ulinzi wa amani Tanzania wanolewa

Nchini Tanzania Umoja wa Mataifa umehitimisha mafunzo ya wiki mbili kwa wakufunzi kwa lengo la kuimarisha ushiriki wa walinda amani kwenye operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa.

Mafunzo hayo yalifanyika kufuatia ombi la serikali ya Tanzania ambapo msemaji wa Tanzania kwenye mafunzo hayo Luteni Kanali George Itang’are amesema ..

(Sauti ya Luteni Kanali Itang’are)

Mmoja wa wanufaika ni Kaimu Mkufunzi Mkuu wa chuo cha mafunzo ya ulizni wa amani nchini Tanzania, Meja Joseph Likalango ambaye anazungumzia walichojifunza..

(Sauti ya Meja Joseph)