Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mradi wa kutengeneza bidhaa za ngozi nchini unaofadhiliwa na UM-Tanzania

Mradi wa kutengeneza bidhaa za ngozi nchini unaofadhiliwa na UM-Tanzania

Umoja wa Mataifa umekuwa mstari wa mbele kusaidia nchi wanachama kusongesha maendeleo yake kama nchi moja ya kufanikisha ajenda ya maendeleo endelevu, SDGs. Sekta ya viwanda mathalani ni miongoni mwa sekta ambazo zinatambuliwa kuwa mojawapo ya njia za kuinua uchumi wa nchi kwa kutengeneza bidhaa zitokanazo na malighafi za ndani na vile vile kutoa fursa za ajira.

Tanzania ni mojawapo ya nchi nufaika za miradi ya aina hiyo. Je nini kinafanyika? Ungana basi na Grace Kaneiya kwenye makala hii ya Wiki.