Skip to main content

UM unatuwezesha kutambua na kutekeleza SDGs: Vijana Tanzania

UM unatuwezesha kutambua na kutekeleza SDGs: Vijana Tanzania

Baraza kuu kivuli la Umoja wa Mataifa linaendelea mjini Arusha nchini Tanzania likiwaleta pamoja vijana mbalimbali kwa ajili ya kujadili masuala ya kimataifa yahusuyo maendeleo ambapo kauli mbiu mwaka huu ni jukumu la vijana katika utekelezaji wa malengo ya maendeleo enedelvu SDGs.

Stela Vuzo wa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa nchini humo amekutana na vijana hao na kuwauliza yale wanaoyojifunza katiak baraza hilola kila mwaka. Mshirikia wa kwanza kutoka Zanzibar anaeleza ushiriki wake.