Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Somalia bado inavitisha vyama vya wafanyakazi:Nyanduga

Somalia bado inavitisha vyama vya wafanyakazi:Nyanduga

Mtaalamu huru wa Umoja wa mataifa wa haki za binadamu kwa ajili ya Somalia Bahame Tom Nyanduga , amesema Somalia bado inaendelea kutoa vitisho dhidi ya vyama vya wafanyakazi na hususani waandishi wa habari, licha ya kuahidi kwamba itasitisha vitendo hivyo. Akizungumza na Flora Nducha wa Idhaa hii Bwana Nyanduga anafafanua ni vitisho gani na hatua zinazochukuliwa na Umoja wa Mataifa. Lakini kwanza anaeleza ni vyama gani..

(MAHOJIANO NA BAHAME NYANDUGA)