Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNDP na mpango wa kutokomeza vikundi vyenya misismao mikali

UNDP na mpango wa kutokomeza vikundi vyenya misismao mikali

Makundi yenye msimamo mkali na ugaidi ni tishio kubwa kwa amani na usalama duniani. Nchi na mashirika mbalimbali yanasaka suluhu ya kimataifa kwa janga hili linalokuwa kwa kasi na kuathiri jamii katika nyanja mbalimbali ikiwamo kijamii, kiuchumi na hata kiutamaduni.]

Miongoni mwa taasisi zinazosaka suluhu ni shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo UNDP ambalo linasema Afrika Mashariki ni miongoni mwa maeneo ambayo yanakabiliwa na vitisho vya makundi yenye misimamo mikali na hivyo limekuaj na mikakati anuai kama anavyoeleza Mratibu wa UNDP ukanda wa Afrika wa programu hiyo Mohamed Yahya.

Katika mahojiano na Joseph Msami wa idhaa hii Yahya anaanza kwa kueleza kile kilichowakusnaya mjini New York.

(SAUTI MAHOJIANO)