Kupinga ajira za utotoni, Uganda yajitutumua

Kupinga ajira za utotoni, Uganda yajitutumua

Leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya Kupinga Ajira za Utotoni Duniani, inayotaka mataifa kuchukau hatua dhidi ya ajira hizo haramu  nchini Uganda juhudi za kuwarejesgha shuleni watoto waliokombolewa katika ajira mbalimbali ikwamo katika sekta ya kilimo zinaendelea.

Ungana na John  Kibego kutoka wilayani Hoima nchini humo katika makala inayosimulia namna burudani ya ngoma inavyotumiwa kuvutia watoto kusoma.