WFP, UNICEF wahaha kunusuru waathirika wa tetemeko Nepal

WFP, UNICEF wahaha kunusuru waathirika wa tetemeko Nepal

Juhudi za kuwakwamua waathirika wa tetemeko la ardhi nchini Nepal zinaendelea kwa uratibu wa mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa ikiwemo lile la mpango wa chakula, lile la kuhudumia watoto UNICEF na washirika wengine.

Katika juhudi za hivi karibuni zaidi WFP inahaha kuwanusuru wahitaji wa chakula nchini humo, ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayo.