Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hali ya malaria nchini Tanzania yaangaziwa

Hali ya malaria nchini Tanzania yaangaziwa

Ikiwa leo Aprili 25 ni siku ya Malaria duniani Umoja wa Mataifa unasema takribani nusu ya watu kote duniani wako hatarini kukumbwa na Malaria. Nchi za barani Afrika zinaendelea kukabiliana na ugonjwa huo basi katika ripoti ifuatayo ungana na Tamimu Adam wa radio washirika Jogoo fm iliyoko Ruvuma Tanzania