Ziara ya Ban nchini Greenland
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon alikuwa ziarani nchini Greenland ambapo amepata fursa ya kujionea mabadiliko ya tabia nchi ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye mkutano kuhusu mabadiliko hayo.
Asumpta Massoi amefuatalia ziara hiyo.