Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Profesa Mazrui azungumzia UM kumuenzi Hayati Mwalimu Nyerere

Profesa Mazrui azungumzia UM kumuenzi Hayati Mwalimu Nyerere

Wakati Umoja wa Mataifa ukitumia siku yale kumkumbuka Baba wa Taifa la Tanzania, Hayati Mwalimu Nyerere, Profesa Ali Mazrui ambaye naye anahudhuria tukio hilo amelizungumzia na kusema ni kitendo sahihi kwa kuzingatia kuwa Tanganyika kabla ya uhuru ilikuwa chini ya uangalizi wa baraza la wadhamini.

Profesa Mazrui amesema hayo katika mahojiano maalum na Idhaa hii, kando mwa shughuli hiyo.

(Sauti ya Profesa Mazrui)