Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM yakwamua maisha ya wakimbizi wa Burundi wanaorejea makwao

IOM yakwamua maisha ya wakimbizi wa Burundi wanaorejea makwao

Miezi tisa baada ya wakimbizi wa Burundi kurejeshwa kwao na serikali ya Tanzania wengi wao wanakumbana na changamoto za kiuchumi katika kutangamana na jamii zao. Wengi wao hawapati huduma za afya, maji, usafi na chakula. Shirika la uhamijai duniani IOM linawasaidia wakimbizi hawa ili kukidhi mahitaji yao kama anavyoeleza msemaji wake Jumbe Omari Jumbe

(SAUTI YA JUMBE)