Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM yakaribisha utiwaji saini sheria ya usafirishaji binadamu Afrika Kusini

IOM yakaribisha utiwaji saini sheria ya usafirishaji binadamu Afrika Kusini

Shirika la kimataifa la uhamijai IOM, limepongeza na kukaribisha hatua ya serikali ya Afrika Kusini kusaini muswada wa sheria ya  kupambana na usafirishaji haramu wa binadamau na kuwa sheria. Sheria hiyo mpya rasmi imetiwa saini mapema wiki hii na Rais Jacob Zuma.

IOM inasema kufuatia hatua hiyo itawekeza kwa kutoa mafunzo kwa maafisa wa serikali na vyombo vya kusimamia sheria ili kufanikisha utekelezaji wa sheria hiyo.

Jumbe Omari Jumbe ni msenaji wa IOM na hapa anafafanua.

(SAUTI JUMBE)