Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM yapeleka msaada wa chakula visiwa vya Marshall

IOM yapeleka msaada wa chakula visiwa vya Marshall

Visiwa vya Marshall  vimekumbwa na ukame mkali kwa muda mrefu,  hata hivyo japo hivi sasa mvua zinanyesha lakini chakula bado ni haba katika maeneo yaliyoathirika sana hususan yale ya kandokando na visiwa hivyo.

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limeanza kupeleka msaada wa chakula wa tani 45 kwa kaya 677 visiwani humo kwa njia ya anga na bahari. Jumbe Omari Jumbe ni msemaji wa IOM

 (SAUTI YA JUMBE OMARI JUMBE)