Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Somalia yaanza kufaidi matunda ya amani

Somalia yaanza kufaidi matunda ya amani

Baada ya vikosi vya jeshi la Somalia kwa kushirikiana na vile vya muungano wa Afrika AMISOM, kuwaondoa wapiganaji wa kundi la kigaidi la Alshabaab katika maeneo mengi ya miji na vijiji nchini humo, shughuli za kijamii ikiwemo michezo imerejea. Mathalani hivi sasa vijana nchini Somalia wanapata fursa ya kushiriki katika mchezo wa mpira wa kikapu kama anavyoelezea Joseph Msami katika makala ifuatayo