Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ubunifu wa mahema maalum wapigia upatu haki za binadamu.

Ubunifu wa mahema maalum wapigia upatu haki za binadamu.

Ubunifu wa kipekee wa mahema yanayotumika kupigia upatau haki za binadamu yamezinduliwa mjini Geneva.

Ni aina gani ya mahema hayo na yananini ndani yake? Ungana na Joseph Msami katika makala hii inayoajibu maswali hayo.