Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Siku ya Uhuru wa vyombo vya habari: hali bado ni mbaya

Siku ya Uhuru wa vyombo vya habari: hali bado ni mbaya

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Mei Tatu ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. Tarehe, na Umoja wa Mataifa umesema bado waandishi wa habari wanafanya kazi katika mazingira ya hatari.

Katika nchi nyingi, waandishi habari wameshambuliwa, na wengine hata kuuawa kwa sababu ya kutekeleza wajibu wao wa kutoa habari kwa umma, na kuongeza uwazi katika serikali.  Ingawa Somalia inaongoza katika matukio ya waandishi habari kuvamiwa na kuuawa, hali si nzuri sana katika nchi nyingine nyingi.

Ujumbe wa siku ya Uhuru wa Vyombo vya habari mwaka huu ni Zungumza bila hofu na uhuru wa kujieleza kupitia vyombo vyote. Ungana basin a Joshua Mmali kwa makala hii hadi tamati.