Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Usafi India: Bila Choo, Hupati Bi Harusi

Usafi India: Bila Choo, Hupati Bi Harusi

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Takriban nusu ya idadi ya watu bilioni 1.2 nchini India, hawana vyoo. Kuna watu wengi zaidi walio na simu za mkononi kuliko vyoo. Kati ya kila vifo kumi, kimoja kinatokana na ukosefu wa usafi unaofaa. Kwa karne nyingi, imekuwa ni jambo la kawaida watu kwenda choo hadharani.

Lakini sasa, serikali ya India imeanzisha mkakati wa, Bila choo, hakuna Bi harusi. Mkakati huo unahusisha pia kuwataja na kuwaaibisha wasio na vyoo, kama anavyoarifu Joshua Mmali katika ripoti hii