Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ban atoa mwelekeo wa dunia kusonga katika mpito

Ban atoa mwelekeo wa dunia kusonga katika mpito

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema dunia kwa sasa inapitia mabadiliko makubwa ya kiuchumi, kimaendeleo na kisiasa na hivyo kuna mambo makuu matatu ya kufuatia ili kuweza kupita kipindi hicho cha mpito.

Ban amesema hayo katika mhadhara alioutoa kwenye Chuo kikuu cha Stanford huko Palo Alto, California. Taarifa zaidi na George Njogopa.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)