Wakimbizi wa Burundi waliorejea nyumbani wakiri kujionea hali bora kuliko walivyotarajia
Wakimbizi wa Burundi waliokuwa wakiishi Tanzania kwa miongo kadhaa pamoja na familia zao na ambao wamerejea nyumbani baada ya amani kupatikana nchini mwao, wamekiri kushuhudia hali ya amani nchini mwao tofauti na taarifa waliozokuwa wakipata wakiwa kwenye kambi.Taarifa zaidi na Alice Kariuki.
(SAUTI YA ALICE KARIUKI)