Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Brazil, Denmark, Ufaransa na Afrika ya Kusini wanaunda ushirika endelevu wa kutoa taarifa

Brazil, Denmark, Ufaransa na Afrika ya Kusini wanaunda ushirika endelevu wa kutoa taarifa

Mtazamo huo wa ushirikiano unaitwa “Marafikia wa aya ya 47” nasema kwamba kutoa taarifa endelevu iwe ni tabia miongoni mwa makampuni.

Aya ya 47 ya matokeo ya nyaraka ya Rio+20 inasema kwamba “wanatambua umuhim wa ushirikiano endelevu wa kutoa taarifa na wanayachagiza makampuni kutafakari kujmisha mfumo endelevu wa ktoa taarifa kuwa kama mzungko wa kawaida.

Mtazamo wan chi hizo nne ni kwamba ushirika wa waZi na wa wajibikaji ni muhimu saana katika kuzifanya sekta binafsi kchangia katika maendeleo endelevu