Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Timor-Leste yapata rais mpya baada ya muongo mmoja wa uhuru

Timor-Leste yapata rais mpya baada ya muongo mmoja wa uhuru

Taifa la Tomor Leste limeadhimisha mwongo mmoja tangu kurejeshwa kwa uhuru wake katika hafla ambayo pia imekuwa ya kubadili uongozi uingozi wake.

Mshindi wa tuzo la Nobel ambaye pia amekuwa rais wa taifa hilo, Jose Ramos-Horta, amemkabidhi mamlaka rais mpya, Taur Matan Ruak katika mji mkuu, Dili

(SAUTI YA JOSE RAMOS HORTA)

Hafla hiyo iloshuhudia kufyatua fataki, imehudhuriwa na mabalozi kutoka nchi tofauti, maafisa wa Umoja wa Mataifa, na marais wa Indonesia na Ureno