Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Guterres asikitishwa na kuuawa kwa mfanyakazi wa UNHCR Goma DR Congo

Guterres asikitishwa na kuuawa kwa mfanyakazi wa UNHCR Goma DR Congo

Kamishna Mkuu wa Shirika lionalowashughulika wakimbizi, Antonia Guterres, ameelezea kusikitishwa kwake na kuuawa kwa mfanyikazi wa shirika hilo, ambaye alifariki dunia mnamo siku ya Jumamosi asubuhi mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

Rocky Kalume Makabuza alijeruhiwa tumboni aliposhambuliwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana siku ya Ijumaa jioni. George Njogopa anaripoti.

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)