Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

ITU yawatunukia wanawake katika nyanja ya teknolojia ya mawasiliano:ICT

ITU yawatunukia wanawake katika nyanja ya teknolojia ya mawasiliano:ICT

Muungano wa kimataifa wa mawasiliano ITU May 17 mwaka huu unaadhimisha mwaka wa 147 tangu ulipoanzishwa.

Na katika kusherehekea unatoa tuzo kwa watu watatu ambao wametoa mchango mkubwa katika mapinduzi ya digital yanayoendelea hasa kwenye upande wa teknolojia ya habari na mawasiliano au ICT. Monica Morara anaripoti.

(TAARIFA YA MONICA MORARA)