Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mahamakama kuhusu uhalifu wa kivita nchini Rwanda yawaapisha majaji kukamilisha kazi yake

Mahamakama kuhusu uhalifu wa kivita nchini Rwanda yawaapisha majaji kukamilisha kazi yake

Jumla ya majaji tisa wameapishwa kwenye mpango wa mwaka 2010 utakaokamilisha kusikilizwa kwa kesi za mahama ya Umoja wa Mataifa ICTR inayosilkiliza kesi za uhalifu wa kivita uliofanyika nchini Rwanda mwaka 1994.

Majaji hao tisa waliapishwa kuambatana na mipangilio ya mahakama ya ICTR yenye makao yake makuu mjini Arusha nchini Tanzania. George Njogopa na taarifa kamili.