Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNRWA kwenye mpango wa kuboresha kambi za wakimbizi wa Kipalestina

UNRWA kwenye mpango wa kuboresha kambi za wakimbizi wa Kipalestina

Maonyesho mapya yamefunguliwa mjini Berlin Ujerumani yatakayoonyesha kushiriki kwa jamii kwenye mipangilio ya miji kwa minajili ya kuboresha kambi za wakimbizi wa kipalestina kwenye eneo la mashariki ya kati.

Kuboreshwa huku kwa kambi za wakimbizi kunaongozwa na shirika la kuhudumia wakimbimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa eneo la Mashariki ya Kati UNRWA linalotoa huduma kwenye kambi 58 za wakimbizi kupitia usaidizi wa wizara ya maendeleo nchini Ujerumani.