Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Baraza la Usalama limehimiza Syria kutekeleza ahadi yake

Baraza la Usalama limehimiza Syria kutekeleza ahadi yake

Baraza la Usalama limehimiza nchi ya Syria kutekeleza ahadi yake ya kuondoa vikosi katika maeneo ya raia kabla ya Aprili 10

Baraza la Usalama lilikutana Alhamisi, baada ya Syria kuambia Ujumbe maalum wa UM kwa sababu ya nchi za kiarabu, Kofi Annan kwamba ilikuwa imeanza kuviondoa vikosi katika maeneo ya raia.

Rais wa Baraza la Usalama mwezi wa Aprili Balozi Susan Rice ambaye ni mwakilishi wa Marekani.

(SAUTI YA SUSAN RICE)

Baraza Kuu iliyaomba makundi yote, ikiwemo upinzani kusitisha mifumo yote ya ghasia ya makundi yaliyojihami kwa muda wa masaa 48 ya utekelezaji wa Serikali ya Syria.