Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kampuni ya Jaipur kuwapa mafunzo ya kusuka mikeka karibu watu 10,000 kaskazini mwa India

Kampuni ya Jaipur kuwapa mafunzo ya kusuka mikeka karibu watu 10,000 kaskazini mwa India

Kampuni ya bidhaa zilizochakaa ya Jaipur nchini India itawapa mafunzo mafunzo karibu watu 10,000 kaskazini mwa India kuhusu njia za kusuka mikeka kama moja ya mipango wa kampuni hiyo ya kuwawezesha kufikia masoko ya kimataifa ifikapo mwaka 2015, ukiwa moja ya mipango duniani ya ya kupambana na umaskini kwa kuinua bishara kwenye nchi zinazoendelea.

Kampuni ya Jaipur ni moja makampuni makubwa zaidi ya kutengeneza mikeka iliyosukwa kwa mikono nchini India na inawasaida watu wenye kipato cha chini ambao asilimia 60 ni wanawake kwenye maeneo maskini zaidi nchini India kupata ajira.