Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkutano wa mameya kutoka Afrika na nchi za kigeni kuhusu ugonjwa wa ukimwi waandaliwa Senegal

Mkutano wa mameya kutoka Afrika na nchi za kigeni kuhusu ugonjwa wa ukimwi waandaliwa Senegal

Zaidi ya mameya 250 kutoka nchini za kusini mwa jangwa la sahara na walio na asili ya kiafrika kutoka Marekani, Caribbean na Amerika Kusini wameliangazia suala la kuboresha vita dhidhi ya ugonjwa wa ukimwi mijini kwenye mkutano wa kihistoria uliondaliwa mjini Dakar Senegal kuanzia tarehe 15 -19 mwezi huu.

Mkutano huo uliandaliwa na rais wa Senegal Wade Abdullahi pamoja na chama cha mameya weusi nchini Marekani na kile cha mameya cha Senegal. Alice Kariuki na taarifa kamili.

(SAUTI YA ALICE KARIUKI)