Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ban kufanyia mabadiliko kundi lake la maafisa wa ngazi za juu

Ban kufanyia mabadiliko kundi lake la maafisa wa ngazi za juu

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ana mipango ya kufanya mabadiliko kwenye kundi lake la maafisa wa ngazi za juu anapojianda kwa kipindi kingine cha miaka mitano wakiwemo washauri wake wa masuala ya kisiasa, kiuchumi , na mawasiliano.

Lengo la Ban ni kuunda kundi jipya lililo imara linalopongezana kwa kazzi nzuri linalofanya. Awamu ya pili ya Ban kama Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa inang’oa nanga mwezi ujao.  Alice Kariuki na taarifa kamili.

(SAUTI YA ALICE KARIUKI)