Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ban aitaka Bahrain kutekeleza matokeo kuhusu kuvunjwa kwa maandamano mapema mwaka huu.

Ban aitaka Bahrain kutekeleza matokeo kuhusu kuvunjwa kwa maandamano mapema mwaka huu.

Ban aitaka Bahrain kutekeleza matokeo kuhusu kuvunjwa kwa maandamano mapema mwaka huu.

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameitaka serikali ya Bahrain kutekeleza matokeo ya uchunguzi huru kuhusu hatua za kijeshi dhidi ya waandamanaji mapema mwezi huu.

Tume huru ya uchunguzi nchini Bahrain chini ya uongozi wa Prof Cherif Bassiouni imegundua kuwa vikosi vya serikali vilitumia nguvu kupita kiasi wakati wa maandamano hayo mwezi Februari na Machi na pia kuwatesa wafungwa.

George Njogopa na taarifa kamili

SAUTI YA NJOGOPA