Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Suala la unyanyapaa bado ni kikwazo katika vita dhidi ya HIV:UM

Suala la unyanyapaa bado ni kikwazo katika vita dhidi ya HIV:UM

Ripoti ya UM wa Mataifa juu ya Ukimwi imezinduliwa rasmi hii leo na Katibu Mkuu wa UM mjini Nairobi Kenya.

Ripoti hiyo  iitwayo  "uniting for universal access" inasisitiza uvumilivu sufuri dhidi ya maambukizi ya HIV, ubaguzi na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo.

Rebecca Awiti ni muathirika wa Ukimwi nchini Kenya na pia ni mwanaharakati. Amezungumza na Irene Mwakesi wa Ofisi ya UM Nairobi na kueleza alivyokabili suala hilo: