Watoto 500,000 kupatiwa chanjo ya ugonjwa wa surua Cote d'Ivoire
Zaidi ya watoto 500,000 walio chini ya umri wa miaka 5 wanatazamiwa kupatiwa
chanzo ya ugonjwa wa surua katika jimbo la Sud-Comoe lililoko nchini Cote
d\'Ivoire, ambalo linavamiwa mara kwa mara na ugonjwa huo.