Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Umoja wa Mataifa wafanya hima kutoa chanjo kwa watoto milioni 1.5 dhidhi ya ugonjwa wa polio nchini Afghanistan.

Umoja wa Mataifa wafanya hima kutoa chanjo kwa watoto milioni 1.5 dhidhi ya ugonjwa wa polio nchini Afghanistan.

Umoja wa Mataifa unafanya jitihada za haraka kuwachanja watoto milioni 1.5 baada ya kuripotiwa visa vya ugonjwa wa polio katika eneo la kaskazini mashariki mwa Afghanistan ambalo halijakumbwa na ujongwa huo kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita.