Mkurugenzi wa mradi wa kudhibiti Malaria Zanzibar asailia maendeleo kwenye huduma za kuyatokomeza maradhi

Mkurugenzi wa mradi wa kudhibiti Malaria Zanzibar asailia maendeleo kwenye huduma za kuyatokomeza maradhi

Taarifa za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinakadiria nusu ya idadi ya watu ulimwenguni wanahatarishwa, kila kukicha na maambukizi maututi ya malaria, hususan ule umma wenye kuishi kwenye nchi masikini.

Miongoni mwa wajumbe wa kimataifa waliohudhuria taadhima hizi za Geneva alikuwemo Dktr Abdullah Ali, Meneja wa Mradi wa Kudhibiti Malaria katika Zanzibar.  Mwandishi habari wa Redio ya UM Geneva, Patrick Maigua alimhoji Dktr Ali.

Sikiliza mahojiano kamili kwenye idhaa ya mtandao ya Redio ya UM.