Polisi wa Nigeria wamewasili Darfur kutumikia UNAMID
Vikosi vya Mchanganyiko vya UM-UA kwa Darfur (UNAMID), wiki liliopita vimepokea vikosi vya polisi 280 kutoka Nigeria vitakavyoenezwa kuimarisha amani akatika maeneo ya Zalingei na El Geneina, Darfur Magharibi.