Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

ICRC inaashiria machafuko hatari kuzuka Ghaza pindi mapigano yataselelea

ICRC inaashiria machafuko hatari kuzuka Ghaza pindi mapigano yataselelea

Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu (ICRC), imetoa taarifa inayosema hali Ghaza, tangu majeshi ya Israel kuingia huko Ijumamosi, ni “ya machafuko na ya hatari kubwa”.