Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Timu ya Umoja wa Mataifa itafanya uchunguzi wa mashambulizi haramu ya LRA katika JKK

Timu ya Umoja wa Mataifa itafanya uchunguzi wa mashambulizi haramu ya LRA katika JKK

Vile vile, Shirika la UM juu ya Huduma za Wahamiaji (UNHCR) limesema timu ya UM, itakayolindwa na vikosi vya MONUC katika JKK, itaelekea kwenye eneo la kaskazini-mashariki, kwenye kijiji cha Duru ambapo hushambuliwa mara kwa mara na waasi wa Uganda wa kundi la LRA.