Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakazi 365,000 wa Ghaza wahudumiwa chakula na WFP

Wakazi 365,000 wa Ghaza wahudumiwa chakula na WFP

Shirika la Miradi ya Chakula Duniani (WFP) limeripoti tangu mapigano kuanza hadi sasa limefanikiwa kugawa posho ya chakula ya miezi mitatu kwa raia wa Ghaza 137,000.