KM ainasihi Israel kusimamisha mapigano

KM ainasihi Israel kusimamisha mapigano

Kwenye ziara katika mji wa Ramallah, uliopo Eneo la WaFalastina katika Magharibi ya Mto Jordan, KM Ban Ki-moon alinasihi Israel kutoa mwito wa, upande mmoja, wa kusimamisha, halan, mashambulizi yake dhidi ya Tarafa ya Ghaza.~