Facebook Twitter Print Email
Ofisi ya UM juu ya Misaada ya Dharura (OCHA) imetangaza takwimu mpya juu ya waathirika wa miripuko ya maradhi ya kipindupindu katika Zimbabwe.