Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ajenda ya mikutano ya Ijumaa kwenye Baraza la Usalama

Ajenda ya mikutano ya Ijumaa kwenye Baraza la Usalama

Baraza la Usalama leo asubuhi linasailia hali katika Cyprus, na Mashariki ya Kati juu ya vikosi vya uangalizi wa kusitisha uhasama katika Milima ya Jolan, Syria.